MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA KILOMBERO ARUSHA.
Matukio mbalimbali katika picha kutoka uwanja wa Kilombero jijini Arusha ambapo leo Juni 3,2024 umefanyika mkutano mkubwa wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Ndg. Dkt. Emmanuel Nchimbi jijini Arusha.
Katika ziara hii, Balozi Dkt. Nchimbi ameambatana na Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndg. Amosi Makalla Pamoja na Katibu wa NEC-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdallah Hamid.
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee