CHONGOLO AKAGUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA LABAY -MBULU
Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo wanaendelea na ziara ya kukagua na kutekeleza Ilani ya CCM leo tarehe 06 Machi 2023 Wametembelea na kukagua Mradi wa Maji kijiji cha Labay uliopo wilaya ya Mbulu na kuzungumza na wananchi wa wanaonufaika na mradi huo.