Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Manaibu Katibu Watendaji wa Tume ya Mipango na Uwekezaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Manaibu Katibu Watendaji wa Tume ya Mipango na Uwekezaji Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango; Ndugu Lorah Basolile Madete Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango;Dkt. Linda Margaret Kokulamula Ezekiel kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.