KATIBU MKUU WA CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KASOTA-GEITA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Kata ya Kasota, Jimbo la Geita Vijijini, leo Agosti 14, 2024, wakati alipokuwa njiani kuelekea Mkoa wa Mwanza kuanza ziara ya siku 2 mkoani humo, baada ya kumaliza ziara ya siku 3 katika Mkoa wa Geita, aliyoianza Agosti 11, 2024.