Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA) AKUTANA NA RAIS NA MHARIRI MKUU WA CONTEMPORARY WORLD MAGAZINE KUTOKA CHINA

alternative

Naibu Katibu Mkuu (Bara) wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Anamringi Issay Macha ameonana na kufanye mazungumzo na Rais na Mhariri Mkuu wa Contemporary World Magazine IDCPC, Ndg. Lv Xuejun, mapema Leo Tarehe 12 Oktoba 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi