MAKALLA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI
MAKALLA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI
•Akagua barabara na madaraja SOMANGA
•Atoa pole na kumshukuru Rais Samia kutoa fedha zaidi Bilioni 100 kujenga madaraja
•Ampongeza Waziri Abdallah Ulega na Tanroad kwa kuwahi na kusimamia matengenezo
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi leo Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya Lindi na Mtwara.
Awali baada ya kuwasili mkuani humo alipita katika Kata ya Somanga Mtama iliyopo katika Jimbo la Kilwa Kaskazini mkoani Lindi kwa ajili ya kusalimia wananchi wa eneo hilo.
Aidha, Makalla kabla ya kusalimia wananchi hao alitembelea katika daraja la Somanga Mtama ambalo lilikatika na kupelekea kupotea kwa mawasiliano katika barabara ya Dar es salaam-Lindi na kuangalia hali inavyoendelea katika daraja hilo.
Akizungumza katika eneo baada ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kutoa ufafanuzi mfupi Makalla alimpongeza kwa weledi mkubwa aliouonyesha kwa kuweza kurudisha mawasiliano hayo kwa muda mfupi na kumtaka aendelee kuwa mkali pale uzembe unapotendeka kwani kile anachokifanya ni kwa maslahi ya CCM kwa sababu wana dhamana kwa wananchi.
Zaidi ya Sh bilioni 100 zimetolewa kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa madaraja hayo, hivyo amemsisitiza Waziri Ulega kuhakikisha anasiamamia wakandarasi madaraja hayo yajengwe kwa ubora na kwa hadhi inauostahili kwani fedha zipo za kutosha.
CPA Makalla anatarajiwa kufanya mkutano wake hadhara na kuzungumza na wananchi katika eneo la Kilwa Masoko.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025