Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kata ya Berega Wilayani Kilosa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kata ya Berega Wilayani Kilosa mara baada ya kufungua Daraja la Berega katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.