Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


Balozi Dkt Nchimbi akutana na kufanya mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), yaliyofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita. Komredi Dengjie na ujumbe wake, amefanya ziara ya kikazi ya siku 3 nchini.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi