Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
MHE. RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI ENEO LA PUMA - IKUNGI
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Itigi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha Lami kutoka Makongorosi-Rungwa-Noranga-Mkiwa sehemu ya Mkiwa-Itigi-Noranga km 56.9 kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Itigi, Singida Oktoba 15, 2023
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.