CCM HAITASHIKA DOLA KWA MABAVU WALA BUNDUKI BALI KWA DEMOKRASIA - NDG. GAVU
> Awataka wana CCM kutumia uchaguzi wa serikali za mitaa kutuma salamu za ushindi mkubwa kwa Rais Samia katika uchaguzi wa mwaka 2025
Katibu wa NEC - Oganaizesheni Ndugu. Issa Haji Gavu , amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi kama ilivyo kawaida yake kamwe hakitashika dola kwa mabavu wala kutumia bunduki bali kitashika dola kwa hali ya kidemokrasia.
Ndugu. Gavu ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano uliokutanisha Viongozi wa Chama, Serikali, Taaisis ziziso za kiserikali, Viongozi wa Dini, Wazee na Machifu.
"Hatutashika dola kwa mabavu wala bunduki bali tutashika dola kwa hila za kidemokrasia"
"Msingi wa demokrasia ni kupiga kura, ili mwanadamu ashawishike basi una wajibu wa kumshawishi kabla ya kupiga kura"
"Tuhakikishe tunaendelea kuhamasisha na kuchapa kazi kwakuwa ndio kitu pekee kitakachoendelea kutupa thamani kwa wananchi kuendelea kutuamini"
"Tutumie uchaguzi wa serikali za mitaa kama salamu za ushindi atakaokwenda kuupta Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ifikapo mwaka 2025"
ποΈ16 Aprili, 2024
πMbozi - Songwe
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025