Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU MKUU DKT NCHIMBI KUSHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM TABORA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM MZEE HASSAN M. WAKASUVI.

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora mapema leo Jumamosi Februari  24, 2024 asubuhi, akiwasili mkoani humo kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi, yanayotarajiwa kufanyika leo katika Kijiji cha Mabama, Wilaya ya Uyui, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, atawakilishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi