NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024