MWENEZI MAKALLA AANZA AWAMU YA PILI YA ZIARA YAKE KUTEMBELEA VYOMBO VYA HABARI NCHINI.
Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla akiwa kwenye studio za Clouds Tv na clouds Fm ikiwa ni awamu yapili ya ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari nchini.