MAPOKEZI YA KATIBU WA NEC-ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CPA MAKALLA WILAYA YA KIGAMBONI
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla 27 Agosti 2024 amepokelewa na Viongozi wa Mkoa wa Dar es salaam wa Kichama na Serikali katika Wilaya ya Kigamboni tayari kwa kukagua na Kusikiliza kero kwa Wananchi wa Kigamboni