CCM NI CHAMA IMARA , CCM NDO CHAMA CHA MATUMAINI ENDELEENI KUKIAMINI .
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla akizungumza maelfu ya Wananchi waliofurika katika eneo la Mundarara wilayani Longido amesema kutokana na utekelezaji bora wa Ilani kumekuwa na ongezeko la Wanachama wengi kujiunga na CCM hata wa Upinzani wanazidi kujiunga CCM hii inadhirisha kuwa CCM ni Chama imara na Chama cha matumaini na ndo kina wajibu wakushughulika na shida za Wananchi.
🗓️ O5 Septemba, 2024.