Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Naibu Makatibu Wakuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Naibu Makatibu Wakuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024. Viongozi hao walioapa ni: Bi. Felister Peter Mdemu kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wanawake na Makundi Maalum (anayeshughulikia Masuala ya Jinsia na Wanawake); Bi. Zuhura Yunus Abdallah kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.