SAFARI YA MAMA SAMIA NCHINI CHINA KUBORESHA RELI YA TAZARA
- Kuboresha Reli ya TAZARA
- Kuongeza nafasi za Ajira
- Kuboresha ustawi wa Jamii
- Kuinua viwango vya kiuchumi nchini
Haya yote ni kutokana na Nchi ya China kuendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati ya Tanzania ikiwemo miundombinu ya kidigitali na usimamizi wa rasilimali za bahari.
Hii ni dhahiri kuwa nafasi ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini itakuwa na athari chanya + katika uchumi wa Tanzania
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#ShirikiUchaguziSerikaliZaMitaa
#KaziIendelee