Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIONGOZI VIJANA KUTOKA UVCCM NA UWT KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE, OKTOBA 30,2023.

alternative

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Anamringi Macha, leo Oktoba 30, 2023 amefungua Mafunzo ya Viongozi Vijana kutoka Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Ufunguzi huo umeudhuriwa na viongozi wa Chama na Serikali akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdallah Hamid pamoja na ujumbe wa Ukufunzi kutoka China.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi