RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.