Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


NAIBU KATIBU MKUU CCM (BARA) NDG. JOHN MONGELA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA SIKU MOJA.

alternative

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara ya siku moja ambapo amepokelewa kwa kishindo na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Mbeya.

Mongela ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Mbeya ameanza ziara yake kwa kufanya vikao vya ndani na viongozi na watumishi mbalimbali wa Chama hicho.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi