Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA Z’BAR

alternative

VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA Z’BAR

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais  Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, walipokutana Ikulu Zanzibar leo Jumatatu, tarehe 14 Aprili 2025. Mwingine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa.

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine