KATIBU MKUU WA CCM AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WAJUMBE WA CCM MKOA WA MWANZA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi na wajumbe wa CCM Mkoa wa Mwanza leo Agosti 15, 2024 katika Ukumbi wa Kwatunza Mkoani Mwanza, Katibu Mkuu hii leo atafanya Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha .