Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, ZANZIBAR

alternative

Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi