Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji wa Mahakama Kuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji wa Mahakama Kuu, ambao ni Bw.Projestus Rweyongeza Kahyoza, Bi.Mariam Mchomba Omary, Bw. Nehemia Ernest Mandia kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino.