Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahman Kinana awasili Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai.
Mkutano Huo Umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Sashisha E. Mafue
#KaziIendelee