RAIS DKT.MWINYI AVUKA MALENGO YA ILANI YA CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya nane madarasa 2,273 sawa na asilimia 150 ya malengo ya ilani ya CCM kwa ujenzi wa Skuli mpya Unguja na Pemba hivyo kuvuka malengo ya Ilani ya CCM 2020-2025 iliyoelekeza kujengwa madarasa 1,500 ya Msingi na Sekondari Unguja na Pemba kwa miaka mitano.
Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Utaani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe: 04 Januari 2024 katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi amesema ni matumaini yake uwekezaji unaoendelea kufanywa na Serikali kuimarisha miundombinu katika sekta ya elimu utachochea zaidi ufaulu wa wanafunzi.
Kwa upande mwingine Rais amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa Skuli hiyo Benchmark na Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) kumaliza ujenzi wa Skuli ya Utaani mwezi Machi mwaka huu na atafika kufungua baada ya kukamilika.
Naye, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa amempongeza Rais Dk.Mwinyi kwa kuvuka malengo ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 katika sekta ya elimu nchini.
Halikadhalika Rais Dkt.Mwinyi amelitaka Shirika la Biashara Zanzibar (ZSTC) kuagiza chakula nje kukabiliana na kupanda kwa bidhaa nchini, Serikali italiwezesha shirika hilo kifedha kuagiza chakula nje kuleta ushindani na Wafanyabiashara binafsi kuhakikisha wananchi wanapata chakula kwa bei nafuu kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
06-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
06-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
06-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
06-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
06-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
06-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
06-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
06-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
06-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
06-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
06-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
06-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
06-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
06-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
06-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
06-11-2025
ASIYETII SHERIA, KATIBA NA KUWA TAYARI KUUA KWA MASLAHI BINAFSI HUO NI UGAIDI’
06-11-2025
πππ π¬ππ¦ππ¦ππ§πππ πͺπππ’π πππ ππ¨πππππππͺπ ππͺπ ππ¨πππ‘πππ§ππ π¨πͺπππ’, π¨πππππ‘ππ’ π‘π π¨πππππππ¨, π¬ππππ ππ π πππ¨π‘ππ - πππ. πππ©π¨
06-11-2025
KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
06-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
06-11-2025