SIKU YA PILI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM CHINI YA DKT SAMIA SULUHU HASSAN
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Januari, 2025.