RAIS SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA GAIRO AGOSTI 2,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.