Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI

alternative

Matukio mbalimbali katika picha kutoka Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi ambapo Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Viongozi wa Serikali na Wananchi wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Samia Suluhu Hassan alipowasili mkoani Katavi leo Julai 12, 2024.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi