Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU MKUU WA CCM AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI TANZANIA 

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Mhe. Gustavo Martins Nogueira, kuhusu masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano kati ya Brazil na Tanzania, leo tarehe 19 Septemba 2024, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi