Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe 18 Julai, 2024 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoan Rukwa.