PONGEZI ZA CCM KWA UMMA.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa furaha kubwa kinawapongeza na kuwashukuru watanzania kwa kuendelea kukiamini na kukipa ushindi wa kishindo kwa kata zote 23.