Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


WASIRA AZUNGUMZA NA  SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.

alternative

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara),  Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na  Rais wa Baraza la Taifa na  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba,  Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.

Katika mazungumzo viongozi hao waliahidi kuendeleza ushirikiano wa kihistoria kati Chama Cha Mapinduzi na Chama cha Kikomunisti cha Cuba, pamoja na Tanzania na Cuba.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine