Uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.