Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MAKONDA AENDELEA NA ZIARA YA "MIKOA 20 BACK TO BACK" KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, SASA NI ZAMU YA MKOA WA RUVUMA.

alternative

Kwa mapenzi ya dhati ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwenye dhamira njema ya kutatua matatizo ya Mwananchi mmoja mmoja, Kazi hiyo inafanywa ipasavyo na Chama Cha Mapinduzi chenye dhamana ya kuongoza dola.

Mapema asubuhi ya leo Jumamosi Februari10, 2024, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Njombe Mjini katika eneo la Stendi ya zamani kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mkoani Ruvuma kwa muendelezo wa ziara yake ya Mikoa 20 Back TO Back

alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi