MCHAKAMCHAKA WA MWENEZI MAKALLA AANZA NA UZINDUZI WA SHINA LA WAKEREKETWA LA WAVUVI BEACH MJI MWEMA ACHANGIA MILIONI MOJA
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amefungua shina la Wakereketwa la Wavuvi Beach Mji Mwema Kigamboni.
CPA Makalla akifungua shina la Wakereketwa amesema "nawapongeza sana Viongozi wa Chama kwa kunileta hapa kufungua Shina hili la wakereketwa kwani Chama Cha Mapinduzi nguvu yake kubwa ipo kwenye mashina kama ilivyo kwenye jumuiya zake kama vile Vijana ambao ndio wanaleta Hamasa nanyi watu wa Shina Uchaguzi huu ni mtatumika kukiombea kura Chama Cha Mapinduzi kwani tumelifungua wakati muafaka lakini nitawachangia Milioni Moja kwa ajili ya kuendeleza Shina".
ποΈ 27 Agosti, 2024.
π Kigamboni
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
28-12-2025
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
28-12-2025
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
28-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
28-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
28-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
28-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
28-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
28-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
28-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
28-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
28-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
28-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
28-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
28-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
28-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
28-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
28-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
28-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
28-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
28-12-2025