Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, tarehe 9 Aprili, 2025 amekuwa na mazungumzo na Pedro de Morais Neto, Mpigania Uhuru na Kiongozi Mwandamizi wa chama tawala cha Angola cha MPLA. Mazungumzo ya viongozi hao ambayo yalihusu kuendelea kuimarisha uhusiano wa kindugu wa vyama hivyo vyenye historia iliyotukuka barani Afrika, yamefanyika Makao Makuu ya Chama cha MPLA jijini Luanda, Angola.