TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza Vikao Vya Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa, Jijini Dar es Salaam.