WASIRA: WATANZANIA KATAENI KUYUMBISHWA NA WASIOTAKIA MEMA NCHI.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza hayo April 15, 2025 alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Chama kutoka Wilaya ya Tabora Mjini na Uyui mkoani Tabora.
“Kuna vyama vya siasa ambavyo vinataka uhuru usiokuwa na mipaka, uhuru usiokuwa na amani hauna maana, na wako wanaotoka kulifanya suala hilo kama mtaji. Tunaposema nchi iko salama maana yake tuko salama kweli na wale wanaodhani tunaweza kutikiswa tunawapa majibu hawawezi kututikisa.
“Sisi Katiba yetu Ibara yake ya tano inasema CCM jukumu lake la msingi ni kushinda uchaguzi, kukamata dola, sasa lazima tukamate dola kwa sababu mapinduzi ambayo tunayaendesha kuleta maisha bora kwa watu hayawezi kupatikana bila sisi kushika dola.
“Kwa hiyo dola ni chombo chetu cha mapinduzi na hatuwezi kukikabidhi kwa chama kingine chombo hiki ambacho hakipo kwa ajili ya wenye vyama ambavyo tumesikia kule Njombe mwenezi aliletewa 'longolongo' alipigwa hadi mbavu zikavunjika, tena mwenezi wa kike, alichapwa na wanaume halafu chama cha namna hiyo mkipe dola mmechoka na amani?
“Amani unaweza kuizoea ukaona hata isipokuwepo wewe utakuwepo, haiwezekani, kajifunze kwa majirani zetu, ikitoweka hairudi. Nenda kaulize maeneo ambayo imetoweka hairudi hata kule ambako hali imetulia visasi vimebaki, visasi vinarithiwa vizazi kwa vizazi, msikubali mkababaishwa na jambo la msingi kuhusu amani yetu,” amesema.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025