SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.