RAIS SAMIA AHUDHURIA HAFLA YA UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI MHE. CYRIL RAMAPHOSA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa , Ndugu. Samia Suluhu Hassan ahudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Viwanja vya Jengo la Umoja, Pretoria nchini humo leo tarehe 19 Juni 2024.