MAKALLA: TIMU YA NAMUNGO IMECHANGIA KUKUZA UCHUMI NA UTALII WA MICHEZO RWANGWA
• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni
•Aoongeza jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa
LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema wasichoke kuichangia timu ya Namungo inapohitajika, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika Wilaya ya Rwangwa na Mkoa wa Lindi kwa ujumla
Makalla ameeleza hayo leo Aprili 13, wakati akizungumza katika mkutano wa ndani na wananchi wa Wilaya ya Rwangwa mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Makalla amesema kuwa uwepo wa uwanja Rwagwa ni fursa kwa wananchi wa wilaya hiyo hususani katika msibu waligi kuu kwa sababu timu 15 zinafika katika uwanja huo kwa ajili ya michuano ya ligi kuu na kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kujiendeleza kiuchumi kwa kutoa huduma wageni.
“Uwepo wa Timu ya Namungo kiuchumi tunasema kuna utalii wa kimichezo yaani timu zote 15 lazima zikajaze uwanja na katika kujaza uwanja hoteli zinajaa, bodaboda wanabeba mashabiki, wasioweza kula hotelini watakula kwa mama ntilie biashara zetu zinaongezeka,” amesema Makalla.
Pia Makalla amesema kuwa suala la michango ni hiyari na kama wananchi wanaipenda timu ya Namungo basi wasichoke kuichangia kutokana na umuhimu wa kuwepo kwa timu hiyo kwa wananchi wa Rwangwa.
“Mimi nilikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza nimekuta pamba ina miaka 22 haijwahi kupanda ligi kuu kwa sababu napenda na nimecheza mpira nimekaa Mwanza miezi nane tu nikapandisha timu ya Pamba, sikupandisha kwa hela zangu wala za serikali ni wananchi wa mkoa wa Mwanza,” amesema Makalla.
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
08-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
08-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
08-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
08-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
08-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
08-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
08-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
08-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
08-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
08-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
08-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
08-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
08-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
08-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
08-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
08-11-2025
ASIYETII SHERIA, KATIBA NA KUWA TAYARI KUUA KWA MASLAHI BINAFSI HUO NI UGAIDI’
08-11-2025
πππ π¬ππ¦ππ¦ππ§πππ πͺπππ’π πππ ππ¨πππππππͺπ ππͺπ ππ¨πππ‘πππ§ππ π¨πͺπππ’, π¨πππππ‘ππ’ π‘π π¨πππππππ¨, π¬ππππ ππ π πππ¨π‘ππ - πππ. πππ©π¨
08-11-2025
KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
08-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
08-11-2025