KATIBU MKUU WA CCM AWASILI MKOANI MWANZA KWA ZIARA YA SIKU MBILI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wananchi wa jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza leo Agosti 14, 2024, wakati akiwa njiani kuendelea na ziara yake Mkoa wa Mwanza ambako atakua na ziara ya siku 2 Mkoa huo.