𝐍𝐈 𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐈𝐋𝐀𝐙𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐂𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐀𝐒𝐀 𝐊𝐔𝐈𝐍𝐆𝐈𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 - 𝐁𝐀𝐋𝐎𝐙𝐈 𝐃𝐊𝐓. 𝐍𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐈
"Ni kosa kubwa sana kukilazimisha chama cha siasa kuingia kwenye uchaguzi"
"Zimeanza kusikika taarifa za baadhi ya wananchi na wana CCM wakiilazimisha CHADEMA iingie kwenye uchaguzi, ni haki yao kususia na kutoingia kwenye uchaguzi"
"...Na nina hakika rafiki yangu Tundulisu hawatakubali kupoteza haki zote mbili, atleast ya kuchagua wataitumia vizuri"
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ---- wakati akifungua mkutano maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika leo Aprili 04, 2025 Songea mkoani Ruvuma
#KaziNaUtuTunasongaMbele