Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
TAARIFA KWA UMMA
Taarifa Kwa Umma Juu ya Vikao Vya Chama Ngazi ya Taifa Vilivyoketi Mapema Leo Tarehe 09-Julai-2023 Chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe DKt. Samia Suluhu Hassan, Vikao Hivyo Vimefanyika Katika Ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.