MIAKA 48 YA CCM : JAMHURI IMEITIKA
Wanachama ,na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimpokea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa shangwe, nderemo na bashasha kwenye Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe zinazofanyika Makao Makuu ya Chama na Serikali Jijini Dodoma.
#Umoja Wetu, Nguvu Yetu.
#Safari Ya Ushindi.