πππππππ πππππππππ ππππππβ-πππππππ
MANYARA: Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, leo Juni 1, 2026 amepokelewa Wilaya ya Hanangβ, mkoani Manyara, kuanza rasmi ziara yake ya kikazi katika mkoa huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya Kanda ya Kaskazini. Mara baada ya kuwasili, Kihongosi alipokelewa katika Kata ya Masakta na kushiriki kikao katika Shina Na. 1 la Tawi la Masakta. Katika ziara hiyo, anatarajiwa kukagua Jengo la Utawala la Halmashauri ya Hanangβ pamoja na mradi wa chujio la maji safi katika Kata ya Jorodom. Aidha, Kihongosi atafanya mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh kwa lengo la kuzungumza na wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi. ___________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMImara #KaziInaendelea #Hanang.
ππ πππππ ππ ππππ ππ πππππππ!
01-06-2026
π°ππππππππ ππππ ππππππππ ππ πππππππππππ!
01-06-2026
πππππ ππ ππππππ πππ ππππππ πππππππ ππππ ππ ππππππππ ππππππππ ππ πππ πππππ
ππππ
01-06-2026
πππππππ ππ πππ ππππ
π πππππ πππππ ππππππππ πππ, πππππππππππ
01-06-2026
πππππππ ππ πππ ππππ
π πππππ πππππ ππππππ ππ πππ ππππ ππ πππππππππππ
01-06-2026
ππ ππππ ππ πππππππ-πππππππππππ ππππ
01-06-2026
ππππ πππππ ππππ ππππππ πππππ ππ ππππ ππππππ πππππππ ππ πππππ
01-06-2026
MAWENZI YAVUNJA REKODI: MITUNGI 3,313 YA OKSIJENI YAZALISHWA KWA MIEZI 6, ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 126 ZAOKOLEWA!
01-06-2026
MAFURIKO YA WANANCHI WA SIHA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA
01-06-2026
MAPOKEZI YA KATIBU MWENEZI WA CCM NDUGU KENANI L KIHONGOSI MKOANI KILIMANJARO
01-06-2026
π° πππππππππ πππππππ πππ ππππππππ πππππππππππ
01-06-2026
CCM INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA
01-06-2026
π°VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VYAIMARISHA MSHIKAMANO, DKT. DIMWA AHITIMISHA MAFUNZO MAALUM
01-06-2026
KATIBU WA NEC, ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ISIMANI EMMANUELA KAGANDA MTATIFIKOLO
01-06-2026
MUENDELEZO WA MAFUNZO YA VIONGOZI KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE β KIBAHA
01-06-2026
SIKU YA KWANZA YA MAFUNZO KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL.
01-06-2026
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VYAMA SITA RAFIKI VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
01-06-2026
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, KOMREDI LIU HAIXING IKULU DAR ES SALAAM
01-06-2026
KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM
01-06-2026
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
01-06-2026