Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MAFURIKO YA WANANCHI WA SIHA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA

alternative

Sanya Stand leo imefurika nguvu ya wananchi wa Wilaya ya Siha na Mkoa mzima wa Kilimanjaro wakionesha imani kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi akizungumza kuhusu maendeleo, mshikamano na mustakabali wa Taifa letu. CCM ni sauti ya wananchi, nguzo ya maendeleo na tumaini la Tanzania imara. Kazi iendelee, maendeleo yaendelee. #KaziNaUtuTunasongambele #Sihayamaendeleo #mtumishiwawote

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine