Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU WA NEC, ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ISIMANI EMMANUELA KAGANDA MTATIFIKOLO

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Ndugu Kenani Kihongosi leo Mei 23, 2026 ameshiriki kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Isimani ambapo amemnadi na kumuombea kura Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia tiketi ya CCM Ndugu Emmanuela Kaganda Mtatifikolo. Mkutano huo wa kampeni umefanyika katika kata ya Idodi ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya kampeni kuelekea siku ya Uchaguzi tarehe 01. June 2026. #ccmtanzania #kazinautuTunasongambele

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine