Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, KOMREDI LIU HAIXING IKULU DAR ES SALAAM

alternative

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 20 Mei 2026 alikutana na kuzungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Komredi Liu Haixing, Ikulu jijini Dar es Salaam.

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine